Alisema.
Mtoto huyu aliyembeba mdogoake aliyefariki wakati wa vita ya 2 ya dunia, alimliza mwanajeshi wa kijapani.
Hadi Leo picha hii inatumika kama alama ya Umoja Japan.
Uziiii✍️✍️✍️
Ijapokuwa kulikua na baadhi ya vituo vya matibabu vilisalia.
Raia wengi wa Japani waliuawa papo hapo, huku wengine wakiteseka vibaya kutokana na kuchomwa na miale.
Mashahidi walieleza walionusurika wakiwa na ngozi iliyochubua Mili yao
Kulingana na Ofisi ya Mkoa wa Nagasaki, 70% ya eneo la viwanda la Nagasaki liliteketezwa, na kusababisha majeruhi 87,000. Awali Marekani ilihesabu makadirio ya chini zaidi
Mpiga picha wa marekani Joe O’Donnell alisafiri hadi Nagasaki kutoka Sasebo na alitembelea nagasakii ili kuandika athari za bomu kwenye jiji.
Aliwatazama wakitoa miili kwenye gari, wakaiweka ndani ya shimo na kuiteketeza.
mtoto wa takriban miaka 10 akiwa amembeba ndugu yake
Mvulana alisimama mda mrefu anajifikiria kumpeleka mdogo wake kwenye mahali pa kuchoma maiti.
Mpiga picha Joe O’Donnell alisema huku akichukua picha hiyo
Askari mmoja wa kijapani alimwona na kumuambia amtupe mtoto kwani amesha fariki ili asichoke.
Akajibu:
“Yeye sio mzito, ni ndugu yangu!”
Askari huyo alielewa na kuangua kilio.
Kwani aliongea Kwa huzuni na hisia nzito
Huku machozi yakimtoka mtoto Yule
Hakika aliumia kumpoteza ndugu yake
Tangu wakati huo, picha hii imekuwa ishara ya umoja huko Japan
“Yeye sio mzito. Yeye ni kaka yangu… ni dada yangu.”
Akianguka, mwinue.
Hata ukichoka msaidie,
Na ikiwa msaada wake ni dhaifu,
Na akikosea msamehe
Na ikiwa ulimwengu utamtelekeza, mpe mgongo wako, kwa sababu si mzito
ni ndugu yako…”
Asante