Nawaambieni Ukweli Mtupu


twitter thread from
Nawaambieni ukweli mtupu.

Ulaji wa Kitu hiki,soda na kuku wa kisasa unachangia pakubwa kwenye mambo yafuatayo

1. Kuotesha matiti wanaume… utamkuta mwanaume na heshima zake ila ana matiti yananing’inia kama mwanamke

@HildaNewton21 @daktarimtalii @amina_hafidh @mpambazi

@mentions@HildaNewton21 @daktarimtalii @amina_hafidh @mpambazi 2. Nyume za wanaume zinakua ndigo kama nukta yaani vinakua vibamia

3. Matatizo ya mvurujiko mkubwa wa vichocheo kwa wanawake

4. Wanawake kua na uke mkavu na kutokwa uchafu ukeni

5. Upungufu wa nguvu za kiume na kike

5. Kiribatumbo, kisukari, presha na matatizo ya moyo

6. Matatizo ya tumbo kujaa gesi mara kwa mara

7. Watoto kubalehe kabla ya muda ,mfano nilishawahi kuona mtoto wa kike mwenye miaka 5 ashaanza kuota matiti,kutoa harufu za kwapani na uke unaanza kutoa utelezi

Yapo makundi ya wanaume wanaoteseka na mambo tajwa hapo juu wanahangaika sana lakini hawaponi. Mchawi mwingine ni kitu hiki
Halafu nashangaa sana hivi inakuaje mwanaume unakula chipsi??

Ndugu zanguni pamoja na matibabu mengine ni lazima UPIGE CHINI CHIPS,SODA NA KUKU WA KISASA

Leave a Reply

Your email address will not be published.