Bradley Lowery Mtoto Huyu Wa Miaka 6 Shabiki Wa Klabu Ya Sunderland, Aliyegusa Mioyo Ya Mashabiki Na Watu Wengi Duniani


twitter thread from




Bradley Lowery mtoto huyu wa Miaka 6 shabiki wa klabu ya Sunderland, aliyegusa mioyo ya mashabiki na watu wengi duniani.

Hadi kuchangiwa zaidi £1 million.

uziii✍️✍️✍️

Bradley Lowery aligusa mioyo ya mamia na maelfu ya watu alipoanzisha urafiki namchezaji wa surndaland Jermain Defoe

baada ya miezi 18 ya kuzaliwa kwake akagundulika anaugonjwa wa neuroblastoma (saratani).

Alikua shabiki wa klabu ya Sunderland ya nchini uingereza na mara nyingi alionekana uwanjani huku akibeba bango lilio Andikwa

“Saratani haina rangi.”

Alikua akisumbuliwa na salatan Kwa mda mrefu.

Jambo hili Lili fanya wadau na vilabu vya mpira kuchanga pesa ili aperekwe

marekani Kwa uchunguzi zaidi pesa zikafikia £1m.

lakini uchunguzi ulionyesha saratani ilishamili hivyo haiwezi tibika tena.

mara kadhaa. Mashabiki waliimba jina lake kwenye michezo na kushikilia mabango yaliyosema: “Saratani haina rangi.” Bradley Lowery mtoto huyu wa Miaka 6 shabiki wa klabu ya Sunderland, aliyegusa mioyo ya mashabiki na watu wengi duniani

Bradley alianzisha urafiki na Defoe mchezaji wa Sunderland na mara nyingi walionekana wote kwenye mechi za Sunderland.

Defoe alimtembelea Bradley mara Kwa mara nyumbani kwao Blackhall na kupiga picha pamoja. Bradley Lowery aligusa mioyo ya mamia na maelfu ya watu alipoanzisha urafiki namchezaji wa surndaland Jermain Defoe

baada ya miezi 18 ya kuzaliwa kwake akagundulika anaugonjwa wa neuroblastoma (saratani)

Kwenye mechi baina ya Sunderland Vs Chelsea Bradley Lowery alipewa nafasi ya kuingi uwanjani acheze mpria kidogo

Na akapewa nafasi ya kufunga goli na goli laki likawa ndio goli la mwezi

Video Poster

Chama cha soka cha England kilimualika kwenye mchezo wakufuzu kombe la dunia la 2018

ambapo England walicheza na Lithuania na aliongoza kikosi wakati wa kuingia uwanjani yeye na rafikiake Defoe.

Nahodha Joe Hart aliwaruhusu Bradley na Defoe waongoze timu hadi uwanjani kwa

kwa makofi ya vifijo kutoka kwa umati wa watu 78,000, na kusababisha Bradley kuziba masikio yake

Chini ya saa 24 baadaye, alirudi hospitalini kwa matibabu zaidi ya kuongeza maisha yake Alikua shabiki wa klabu ya Sunderland ya nchini uingereza na mara nyingi alionekana uwanjani huku akibeba bango lilio Andikwa

"Saratani haina rangi

Alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya sita mnamo Mei 2017 na karamu kubwa kwenye uwanja wa kriketi wa ndani na burudani ya kufurahisha.

Bradley na Defoe walipigwa picha ya pamoja nyumbani na familia hiyo huko Blackhall, kaunti ya Durham, baada ya kuwa na karamu kumbe ilikua

ilikua ndio wanaagana.

July 7, 2017 Bradley Lowery aliaga dunia ilikua ni huzuni kubwa na kifo chake kiligusa mioyo ya watu wengi.

Mama ake alisema

“shujaa mdogo” alikuwa pamoja na malaika, na alikufa “katika mikono ya mama na baba akizungukwa na familia yake”. ”

Hakuna maneno ya kuelezea jinsi tulivyovunjika moyo,”

Kwenye mkutano na waandishi wa habari Jermain Defoe aliesma

“Daima atakuwa moyoni mwangu kwa maisha yangu yote.

“Hakuna siku inapita ambapo huwa siamki asubuhi na kuangalia simu yangu au kumfikiria Bradley”

Sunderland wakasema: “Bradley aliteka mioyo na hisia za kila mtu kwenye klabu yetu kwa roho yake

isiyoweza kushindwa, ujasiri mkubwa na tabasamu zuri, ambalo lingeweza kuangaza hata vyumba vya giza zaidi.”

Iliongeza: “Hadithi ya Bradley haikugusa tu klabu yetu na mashabiki wetu, lakini pia jumuiya kubwa ya soka.”

Liverpool FC iliandika kwenye Twitter: “Bradley alikuwa msukumo kwa kila mtu.”

Mazishi ya Bradley Lowery

Leave a Reply

Your email address will not be published.